Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.026 saat)
#1
Ar-Ra'd
:4
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
katika
ardhi
vimo
vipande
vilivyo
karibiana,
na
zipo
bustani
za
mizabibu,
na
mimea
mingine,
na
mitende
yenye
kuchipua
kwenye
shina
moja
na
isio
chipua
kwenye
shina
moja,
nayo
inatiliwa
maji
yale
yale.
Na
tunaifanya
baadhi
yao
bora
kuliko
mengine
katika
kula.
Hakika
katika
hayo
zimo
ishara
kwa
watu
wanao
tia
mambo
akilini.
]
[ وفي الأرض قطع متجاورات وجنات من أعناب وزرع ونخيل صنوان وغير صنوان يسقى بماء واحد ونفضل بعضها على بعض في الأكل إن في ذلك لآيات لقوم يعقلون ] — الرعد 4