Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.024 saat)
#1
At-Tawba
:71
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
Waumini
wanaume
na
Waumini
wanawake
wao
kwa
wao
ni
marafiki
walinzi.
Huamrisha
mema
na
hukataza
maovu,
na
hushika
Sala,
na
hutoa
Zaka,
na
humt'ii
Mwenyezi
Mungu
na
Mtume
wake.
Hao
Mwenyezi
Mungu
atawarehemu.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mtukufu
Mwenye
nguvu,
Mwenye
hikima.
]
[ والمؤمنون والمؤمنات بعضهم أولياء بعض يأمرون بالمعروف وينهون عن المنكر ويقيمون الصلاة ويؤتون الزكاة ويطيعون الله ورسوله أولئك سيرحمهم الله إن الله عزيز حكيم ] — التوبة 71