Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
An-Nahl
:75
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Mwenyezi
Mungu
anapiga
mfano
wa
mtumwa
aliye
milikiwa,
asiye
weza
kitu,
na
mwingine
tuliye
mruzuku
riziki
njema
inayo
toka
kwetu,
naye
akawa
anatoa
katika
riziki
hiyo
kwa
siri
na
dhaahiri.
Je,
hao
watakuwa
sawa?
Alhamdu
Lillahi!
Kuhimidiwa
kote
ni
kwa
Mwenyezi
Mungu.
Lakini
wengi
wao
hawajui.
]
[ ضرب الله مثلا عبدا مملوكا لا يقدر على شيء ومن رزقناه منا رزقا حسنا فهو ينفق منه سرا وجهرا هل يستوون الحمد لله بل أكثرهم لا يعلمون ] — النحل 75