Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Luqman
:29
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Kwani
huoni
kwamba
Mwenyezi
Mungu
huuingiza
usiku
katika
mchana,
na
huuingiza
mchana
katika
usiku,
na
amedhalilisha
jua
na
mwezi?
Vyote
hivyo
vinakwenda
mpaka
wakati
ulio
wekwa.
Na
Mwenyezi
Mungu
anazo
khabari
za
mnayo
yatenda.
]
[ ألم تر أن الله يولج الليل في النهار ويولج النهار في الليل وسخر الشمس والقمر كل يجري إلى أجل مسمى وأن الله بما تعملون خبير ] — لقمان 29