Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.024 saat)
#1
Al-An'am
:93
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Nani
dhaalimu
mkubwa
kuliko
yule
anaye
mzuliya
uwongo
Mwenyezi
Mungu,
au
anaye
sema:
Mimi
nimeletewa
wahyi;
na
hali
hakuletewa
wahyi
wowote.
Na
yule
anaye
sema:
Nitateremsha
kama
alivyo
teremsha
Mwenyezi
Mungu.
Na
lau
ungeli
waona
madhaalimu
wanavyo
kuwa
katika
mahangaiko
ya
mauti,
na
Malaika
wamewanyooshea
mikono
wakiwambia:
Zitoeni
roho
zenu!
Leo
mtalipwa
adhabu
ya
fedheha
kwa
sababu
ya
mliyo
kuwa
mkiyasema
juu
ya
Mwenyezi
Mungu
yasiyo
ya
haki,
na
mlivyo
kuwa
mkizifanyia
kiburi
Ishara
zake.
]
[ ومن أظلم ممن افترى على الله كذبا أو قال أوحي إلي ولم يوح إليه شيء ومن قال سأنزل مثل ما أنزل الله ولو ترى إذ الظالمون في غمرات الموت والملائكة باسطو أيديهم أخرجوا أنفسكم اليوم تجزون عذاب الهون بما كنتم تقولون على الله غير الحق وكنتم عن آياته تستكبرون ] — الأنعام 93