Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 2 daripada 2 )
(0.023 saat)
#1
Al-Israa
:57
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hao
wanao
waomba,
wao
wenyewe
wanatafuta
njia
ya
kwendea
kwa
Mola
wao
Mlezi
-
hata
miongoni
mwao
walio
karibu
mno
-
na
wanataraji
rehema
zake
na
wanaikhofu
adhabu
yake.
Hakika
adhabu
ya
Mola
wako
Mlezi
yafaa
kutahadhari
nayo.
]
[ أولئك الذين يدعون يبتغون إلى ربهم الوسيلة أيهم أقرب ويرجون رحمته ويخافون عذابه إن عذاب ربك كان محذورا ] — الإسراء 57
#2
Al-Baqarah
:9
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wanatafuta
kumdanganya
Mwenyezi
Mungu
na
wale
walio
amini,
lakini
hawadanganyi
ila
nafsi
zao;
nao
hawatambui.
]
[ يخادعون الله والذين آمنوا وما يخدعون إلا أنفسهم وما يشعرون ] — البقرة 9