Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al Imran
:20
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
pindi
wakikuhoji,
basi
sema:
Mimi
nimeusalimisha
uso
wangu
kumwelekea
Mwenyezi
Mungu,
na
kadhaalika
walio
nifuata.
Na
waambie
walio
pewa
Kitabu
na
wasio
na
kisomo:
Je!
Mmesilimu?
Wakisilimu
basi
wameongoka.
Na
wakikengeuka
basi
juu
yako
ni
kufikisha
ujumbe
tu.
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kuwaona
waja
wake.
]
[ فإن حاجوك فقل أسلمت وجهي لله ومن اتبعن وقل للذين أوتوا الكتاب والأميين أأسلمتم فإن أسلموا فقد اهتدوا وإن تولوا فإنما عليك البلاغ والله بصير بالعباد ] — آل عمران 20