Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 4 daripada 4 )
(0.022 saat)
#1
Al-Qasas
:76
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hakika
Qaruni
alikuwa
katika
watu
wa
Musa,
lakini
aliwafanyia
dhulma.
Na
tulimpa
khazina
ambazo
funguo
zake
zinawatopeza
watu
wenye
nguvu
kuzichukua.
Walipo
mwambia
watu
wake:
Usijigambe!
Hakika
Mwenyezi
Mungu
hawapendi
wanao
jigamba.
]
[ إن قارون كان من قوم موسى فبغى عليهم وآتيناه من الكنوز ما إن مفاتحه لتنوء بالعصبة أولي القوة إذ قال له قومه لا تفرح إن الله لا يحب الفرحين ] — القصص 76
#2
Al-Qasas
:79
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Basi
akawatokea
watu
wake
katika
pambo
lake.
Wakasema
wale
walio
kuwa
wanataka
maisha
ya
duniani:
Laiti
tungeli
kuwa
tunayo
kama
aliyo
pewa
Qaruni!
Hakika
yeye
ni
mwenye
bahati
kubwa.
]
[ فخرج على قومه في زينته قال الذين يريدون الحياة الدنيا يا ليت لنا مثل ما أوتي قارون إنه لذو حظ عظيم ] — القصص 79
#3
Al-Ankabut
:39
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#4
Ghafir
:24
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani