Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.026 saat)
#1
Al-Kahf
:21
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
namna
hivi
tuliwa
juulisha
kwa
watu
wapate
kujua
ya
kwamba
ahadi
ya
Mwenyezi
Mungu
ni
ya
kweli,
na
kwamba
Saa
haina
shaka.
Walipo
kuwa
wakigombania
jambo
lao
wao
kwa
wao
walisema:
Jengeni
jengo
juu
yao.
Mola
wao
Mlezi
anawajua
vyema.
Wakasema
walio
shinda
katika
shauri
yao:
Bila
ya
shaka
tutawajengea
msikiti
juu
yao.
]
[ وكذلك أعثرنا عليهم ليعلموا أن وعد الله حق وأن الساعة لا ريب فيها إذ يتنازعون بينهم أمرهم فقالوا ابنوا عليهم بنيانا ربهم أعلم بهم قال الذين غلبوا على أمرهم لنتخذن عليهم مسجدا ] — الكهف 21