Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al-Hujurat
:14
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Mabedui
wamesema:
Tumeamini.
Sema:
Hamjaamini,
lakini
semeni:
Tumesilimu.
Kwani
Imani
haijaingia
katika
nyoyo
zenu.
Na
mkimt'ii
Mwenyezi
Mungu
na
Mtume
wake,
hatakupunguzieni
chochote
katika
vitendo
vyenu.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kusamehe,
Mwenye
kurehemu.
]
[ قالت الأعراب آمنا قل لم تؤمنوا ولكن قولوا أسلمنا ولما يدخل الإيمان في قلوبكم وإن تطيعوا الله ورسوله لا يلتكم من أعمالكم شيئا إن الله غفور رحيم ] — الحجرات 14