Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.025 saat)
#1
Al-Baqarah
:259
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Au
kama
yule
aliye
pita
karibu
na
mji
ulio
kwisha
kuwa
magofu
tu,
akasema:
Ataufufuaje
Mwenyezi
Mungu
mji
huu
baada
ya
kufa
kwake?
Basi
Mwenyezi
Mungu
alimfisha
yeye
muda
wa
miaka
mia.
Kisha
akamfufua.
Akamuuliza:
Je
umekaa
muda
gani?
Akajibu:
Labda
nimekaa
siku
moja
au
sehemu
ya
siku.
Akamwambia:
Bali
umekaa
miaka
mia
wewe.
Hebu
angalia
chakula
chako
na
vinywaji
vyako,
havikuharibika.
Na
muangalie
punda
wako.
Na
ili
tukufanye
uwe
ni
Ishara
kwa
watu
iangalie
hii
mifupa
yake
jinsi
tunavyo
inyanyua
kisha
tunaivisha
nyama.
Basi
yalipo
mbainikia
alinena:
Najua
kwamba
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
uweza
juu
ya
kila
kitu.
]
[ أو كالذي مر على قرية وهي خاوية على عروشها قال أنى يحيي هذه الله بعد موتها فأماته الله مائة عام ثم بعثه قال كم لبثت قال لبثت يوما أو بعض يوم قال بل لبثت مائة عام فانظر إلى طعامك وشرابك لم يتسنه وانظر إلى حمارك ولنجعلك آية للناس وانظر إلى العظام كيف ننشزها ثم نكسوها لحما فلما تبين له قال أعلم أن الله على كل شيء قدير ] — البقرة 259