Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.024 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Yunus
:22
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Yeye
ndiye
anaye
kuendesheni
bara
na
baharini.
Hata
mnapo
kuwa
majahazini
na
yakawa
yanakwenda
nao
kwa
upepo
mzuri
wakaufurahia,
upepo
mkali
ukawazukia,
na
yakawajia
mawimbi
kutoka
kila
upande,
na
wakaona
wamesha
zongwa,
basi
hapo
humwomba
Mwenyezi
Mungu
kwa
kumsafishia
niya:
Ukituokoa
na
haya
bila
ya
shaka
tutakuwa
miongoni
mwa
wanao
shukuru.
]
[ هو الذي يسيركم في البر والبحر حتى إذا كنتم في الفلك وجرين بهم بريح طيبة وفرحوا بها جاءتها ريح عاصف وجاءهم الموج من كل مكان وظنوا أنهم أحيط بهم دعوا الله مخلصين له الدين لئن أنجيتنا من هذه لنكونن من الشاكرين ] — يونس 22