Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-A'raf
:32
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Sema:
Ni
nani
aliye
harimisha
pambo
la
Mwenyezi
Mungu
alilo
watolea
waja
wake,
na
vilivyo
vizuri
katika
riziki.
Sema
hivyo
ni
kwa
walio
amini
katika
uhai
wa
duniani,
na
Siku
ya
Kiyama
vitakuwa
vyao
wao
tu.
Namna
hivi
tunazieleza
Ishara
kwa
watu
wanao
jua.
]
[ قل من حرم زينة الله التي أخرج لعباده والطيبات من الرزق قل هي للذين آمنوا في الحياة الدنيا خالصة يوم القيامة كذلك نفصل الآيات لقوم يعلمون ] — الأعراف 32