Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.020 നിമിഷങ്ങള്)
#1
An-Najm
:32
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Ambao
wanajiepusha
na
madhambi
makuu
na
vitendo
vichafu,
isipo
kuwa
makosa
khafifu.
Hakika
Mola
wako
Mlezi
ni
Mkunjufu
wa
maghfira,
naye
anakujueni
sana
tangu
alipo
kuumbeni
kutoka
kwenye
ardhi,
na
mlipo
kuwa
mimba
matumboni
mwa
mama
zenu.
Basi
msijisifu
usafi.
Yeye
anamjua
sana
mwenye
kujikinga
na
maovu.
]
[ الذين يجتنبون كبائر الإثم والفواحش إلا اللمم إن ربك واسع المغفرة هو أعلم بكم إذ أنشأكم من الأرض وإذ أنتم أجنة في بطون أمهاتكم فلا تزكوا أنفسكم هو أعلم بمن اتقى ] — النجم 32