Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.025 നിമിഷങ്ങള്)
#1
An-Nahl
:69
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Kisha
kula
katika
kila
matunda,
na
upite
katika
njia
za
Mola
wako
Mlezi
zilizo
fanywa
nyepesi
kuzipita.
Na
kutoka
matumbo
yao
kinatoka
kinywaji
chenye
rangi
mbali
mbali;
ndani
yake
kina
matibabu
kwa
wanaadamu.
Hakika
katika
haya
ipo
Ishara
kwa
watu
wanao
fikiri.
]
[ ثم كلي من كل الثمرات فاسلكي سبل ربك ذللا يخرج من بطونها شراب مختلف ألوانه فيه شفاء للناس إن في ذلك لآية لقوم يتفكرون ] — النحل 69