Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
At-Tawba
:109
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Je!
Mwenye
kuweka
msingi
wa
jengo
lake
juu
ya
kumcha
Mwenyezi
Mungu
na
radhi
zake
ni
bora
au
mwenye
kuweka
msingi
wa
jengo
lake
juu
ya
ukingo
wa
shimo
linalo
burugunyika,
na
likaburugunyika
naye
katika
Moto
wa
Jahannamu?
Na
Mwenyezi
Mungu
hawaongoi
watu
madhaalimu.
]
[ أفمن أسس بنيانه على تقوى من الله ورضوان خير أم من أسس بنيانه على شفا جرف هار فانهار به في نار جهنم والله لا يهدي القوم الظالمين ] — التوبة 109