Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
An-Nur
:33
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
wajizuilie
na
machafu
wale
wasio
pata
cha
kuolea,
mpaka
Mwenyezi
Mungu
awatajirishe
kwa
fadhila
yake.
Na
wanao
taka
kuandikiwa
uhuru
katika
wale
ambao
mikono
yenu
ya
kulia
imewamiliki,
basi
waandikieni
kama
mkiona
wema
kwao.
Na
wapeni
katika
mali
ya
Mwenyezi
Mungu
aliyo
kupeni.
Wala
msiwashurutishe
vijakazi
vyenu
kufanya
zina
kwa
ajili
ya
kutafuta
pato
la
maisha
ya
dunia,
ilhali
wao
wanataka
kujihishimu.
Na
atakaye
walazimisha
basi
Mwenyezi
Mungu
baada
ya
kulazimishwa
kwao
huko,
atawasamehe,
kwani
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kusamehe,
Mwenye
kurehemu.
]
[ وليستعفف الذين لا يجدون نكاحا حتى يغنيهم الله من فضله والذين يبتغون الكتاب مما ملكت أيمانكم فكاتبوهم إن علمتم فيهم خيرا وآتوهم من مال الله الذي آتاكم ولا تكرهوا فتياتكم على البغاء إن أردن تحصنا لتبتغوا عرض الحياة الدنيا ومن يكرههن فإن الله من بعد إكراههن غفور رحيم ] — النور 33