Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Fatir
:18
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
mbebaji
habebi
mzigo
wa
mwingine.
Na
aliye
topewa
na
mzigo
wake
akiomba
uchukuliwe
hautachukuliwa
hata
kidogo,
na
angamwomba
jamaa
yake.
Hakika
wewe
unawaonya
wale
wanao
mcha
Mola
wao
Mlezi
kwa
ghaibu,
na
wanashika
Sala.
Na
anaye
jitakasa,
basi
anajitakasa
kwa
ajili
ya
nafsi
yake.
Na
marejeo
ni
kwa
Mwenyezi
Mungu.
]
[ ولا تزر وازرة وزر أخرى وإن تدع مثقلة إلى حملها لا يحمل منه شيء ولو كان ذا قربى إنما تنذر الذين يخشون ربهم بالغيب وأقاموا الصلاة ومن تزكى فإنما يتزكى لنفسه وإلى الله المصير ] — فاطر 18