Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Hud
:87
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wakasema:
Ewe
Shua'ibu!
Ni
sala
zako
ndizo
zinazo
kuamrisha
tuyaache
waliyo
kuwa
wakiyaabudu
baba
zetu,
au
tuache
kufanya
tupendavyo
katika
mali
zetu?
Ama
hakika
wewe
ni
mstahamilivu
kweli
na
mwongofu!
]
[ قالوا يا شعيب أصلاتك تأمرك أن نترك ما يعبد آباؤنا أو أن نفعل في أموالنا ما نشاء إنك لأنت الحليم الرشيد ] — هود 87