Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Hud
:31
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wala
sikwambiini
kuwa
nina
khazina
za
Mwenyezi
Mungu;
wala
kuwa
mimi
najua
mambo
ya
ghaibu;
wala
sisemi:
Mimi
ni
Malaika.
Wala
siwasemi
wale
ambao
yanawadharau
macho
yenu
kuwa
Mwenyezi
Mungu
hatawapa
kheri
-
Mwenyezi
Mungu
anajua
yaliomo
katika
nafsi
zao
-
hapo
bila
ya
shaka
ninge
kuwa
miongoni
mwa
wenye
kudhulumu.
]
[ ولا أقول لكم عندي خزائن الله ولا أعلم الغيب ولا أقول إني ملك ولا أقول للذين تزدري أعينكم لن يؤتيهم الله خيرا الله أعلم بما في أنفسهم إني إذا لمن الظالمين ] — هود 31