Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
At-Tawba
:120
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Haiwafalii
watu
wa
Madina
na
Mabedui
walio
jirani
zao
kubakia
nyuma
wasitoke
na
Mtume,
wala
kujipendelea
nafsi
zao
kuliko
yeye.
Hayo
ni
kwa
kuwa
hakiwapati
kiu,
wala
machofu,
wala
njaa,
kwa
ajili
ya
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu,
wala
hawendi
mahali
panapo
waghadhibisha
makafiri,
wala
hakiwapati
chochote
kutokana
na
maadui,
ila
huandikiwa
kuwa
ni
kitendo
chema.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
haupotezi
ujira
wa
wanao
fanya
mema.
]
[ ما كان لأهل المدينة ومن حولهم من الأعراب أن يتخلفوا عن رسول الله ولا يرغبوا بأنفسهم عن نفسه ذلك بأنهم لا يصيبهم ظمأ ولا نصب ولا مخمصة في سبيل الله ولا يطئون موطئا يغيظ الكفار ولا ينالون من عدو نيلا إلا كتب لهم به عمل صالح إن الله لا يضيع أجر المحسنين ] — التوبة 120