Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Ghafir
:37
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Njia
za
mbinguni
ili
nikamwone
Mungu
wa
Musa.
Na
kwa
hakika
mimi
bila
ya
shaka
namjua
kuwa
ni
mwongo
tu.
Na
hivi
ndivyo
Firauni
alivyo
pambiwa
ubaya
wa
vitendo
vyake,
na
akazuiliwa
Njia.
Na
vitimbi
vya
Firauni
havikuwa
ila
katika
kuangamia
tu.
]
[ أسباب السماوات فأطلع إلى إله موسى وإني لأظنه كاذبا وكذلك زين لفرعون سوء عمله وصد عن السبيل وما كيد فرعون إلا في تباب ] — غافر 37