Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 2 ന്റെ 2 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
An-Nahl
:61
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
lau
kuwa
Mwenyezi
Mungu
angeli
wachukulia
watu
kwa
mujibu
wa
dhulma
zao,
basi
asingeli
mwacha
hapa
hata
mnyama
mmoja.
Lakini
anawaakhirisha
mpaka
muda
ulio
wekwa.
Na
unapo
fika
muda
wao
hawatakawilia
hata
saa
moja
wala
hawatatangulia.
]
[ ولو يؤاخذ الله الناس بظلمهم ما ترك عليها من دابة ولكن يؤخرهم إلى أجل مسمى فإذا جاء أجلهم لا يستأخرون ساعة ولا يستقدمون ] — النحل 61
#2
Al-A'raf
:186
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Aliye
mwacha
Mwenyezi
Mungu
kupotea
hana
wa
kumwongoa.
Atawaacha
hao
wakitangatanga
katika
upotofu
wao.
]
[ من يضلل الله فلا هادي له ويذرهم في طغيانهم يعمهون ] — الأعراف 186