Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Yusuf
:24
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
hakika
yule
mwanamke
alimtamani,
na
Yusuf
angeli
mtamani
lau
kuwa
hakuona
ishara
ya
Mola
wake
Mlezi.
Hayo
hivyo
ni
kwa
ajili
tumuepushe
na
uovu
na
uchafu.
Hakika
yeye
alikuwa
katika
waja
wetu
walio
safishwa.
]
[ ولقد همت به وهم بها لولا أن رأى برهان ربه كذلك لنصرف عنه السوء والفحشاء إنه من عبادنا المخلصين ] — يوسف 24