Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
An-Nisa'
:171
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
Watu
wa
Kitabu!
Msipite
kiasi
katika
dini
yenu,
wala
msimseme
Mwenyezi
Mungu
ila
kwa
lilio
kweli.
Hakika
Masihi
Isa
mwana
wa
Maryamu
ni
Mtume
wa
Mwenyezi
Mungu,
na
neno
lake
tu
alilo
mpelekea
Maryamu,
na
ni
roho
iliyo
toka
kwake.
Basi
Muaminini
Mwenyezi
Mungu
na
Mitume
wake.
Wala
msiseme:
Utatu.
Komeni!
Itakuwa
kheri
kwenu.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mungu
mmoja
tu.
Ametukuka
Yeye
na
kuwa
na
mwana.
Ni
vyake
Yeye
vyote
viliomo
katika
mbingu
na
katika
ardhi.
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mtegemewa
wa
kutosha.
]
[ يا أهل الكتاب لا تغلوا في دينكم ولا تقولوا على الله إلا الحق إنما المسيح عيسى ابن مريم رسول الله وكلمته ألقاها إلى مريم وروح منه فآمنوا بالله ورسله ولا تقولوا ثلاثة انتهوا خيرا لكم إنما الله إله واحد سبحانه أن يكون له ولد له ما في السماوات وما في الأرض وكفى بالله وكيلا ] — النساء 171