Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 3 ന്റെ 3 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Baqarah
:97
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Sema:
Aliye
kuwa
ni
adui
wa
Jibril,
basi
huyo
ndiye
aliye
iteremsha
Qur'ani
moyoni
mwako
kwa
idhini
ya
Mwenyezi
Mungu,
inayo
thibitisha
yaliyo
kuwa
kabla
yake,
na
ni
uwongofu
na
bishara
njema
kwa
Waumini.
]
[ قل من كان عدوا لجبريل فإنه نزله على قلبك بإذن الله مصدقا لما بين يديه وهدى وبشرى للمؤمنين ] — البقرة 97
#2
Yusuf
:77
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wakasema:
Ikiwa
huyu
ameiba,
basi
nduguye
vile
vile
aliiba
zamani.
Lakini
Yusuf
aliyaweka
siri
moyoni
mwake
wala
hakuwaonyesha.
Akawaambia:
Nyinyi
mko
katika
hali
mbaya
zaidi,
na
Mwenyezi
Mungu
anajua
zaidi
hayo
mnayo
singizia.
]
[ قالوا إن يسرق فقد سرق أخ له من قبل فأسرها يوسف في نفسه ولم يبدها لهم قال أنتم شر مكانا والله أعلم بما تصفون ] — يوسف 77
#3
Al-Baqarah
:204
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani