Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
An-Nur
:43
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Je!
Huoni
ya
kwamba
Mwenyezi
Mungu
huyasukuma
mawingu,
kisha
huyaambatisha,
kisha
huyafanya
mirundi?
Basi
utaona
mvua
ikitoka
kati
yake.
Na
huteremsha
kutoka
juu
kwenye
milima
ya
mawingu
mvua
ya
mawe,
akamsibu
nayo
amtakaye
na
akamuepusha
nayo
amtakaye.
Hukurubia
mmetuko
wa
umeme
wake
kupofua
macho.
]
[ ألم تر أن الله يزجي سحابا ثم يؤلف بينه ثم يجعله ركاما فترى الودق يخرج من خلاله وينزل من السماء من جبال فيها من برد فيصيب به من يشاء ويصرفه عن من يشاء يكاد سنا برقه يذهب بالأبصار ] — النور 43