Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Ma'idah
:4
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wanakuuliza
wamehalalishiwa
nini?
Sema:
Mmehalalishiwa
kila
vilivyo
vizuri
na
mlicho
wafundisha
wanyama
kukiwinda.
Mnawafundisha
alivyo
kufunzeni
Mwenyezi
Mungu.
Basi
kuleni
walicho
kukamatieni,
na
mkisomee
jina
la
Mwenyezi
Mungu.
Na
mcheni
Mwenyezi
Mungu;
hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwepesi
wa
kuhisabu.
]
[ يسألونك ماذا أحل لهم قل أحل لكم الطيبات وما علمتم من الجوارح مكلبين تعلمونهن مما علمكم الله فكلوا مما أمسكن عليكم واذكروا اسم الله عليه واتقوا الله إن الله سريع الحساب ] — المائدة 4