Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
An-Nisa'
:141
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wale
ambao
wanakungojeeni,
mkipata
ushindi
unao
toka
kwa
Mwenyezi
Mungu
wao
husema:
Si
tulikuwa
pamoja
nanyi
vile?
Na
ikiwa
ni
sehemu
ya
makafiri
kushinda
wao
huwaambia:
Hatukuwa
ni
waweza
wa
kukushindeni,
nasi
tukakukingeni
na
hawa
Waumini?
Basi
Mwenyezi
Mungu
atahukumu
baina
yenu
Siku
ya
Kiyama,
wala
Mwenyezi
Mungu
hatawapa
makafiri
njia
ya
kuwashinda
Waumini.
]
[ الذين يتربصون بكم فإن كان لكم فتح من الله قالوا ألم نكن معكم وإن كان للكافرين نصيب قالوا ألم نستحوذ عليكم ونمنعكم من المؤمنين فالله يحكم بينكم يوم القيامة ولن يجعل الله للكافرين على المؤمنين سبيلا ] — النساء 141