Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
An-Nisa'
:35
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
mkichelea
kutakuwapo
mfarakano
baina
ya
mke
na
mume
basi
pelekeni
muamuzi
kutokana
na
jamaa
za
mume,
na
muamuzi
kutokana
na
jamaa
za
mke.
Wakitaka
mapatano
Mwenyezi
Mungu
atawawezesha.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mjuzi
Mwenye
khabari.
]
[ وإن خفتم شقاق بينهما فابعثوا حكما من أهله وحكما من أهلها إن يريدا إصلاحا يوفق الله بينهما إن الله كان عليما خبيرا ] — النساء 35