Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 2 ന്റെ 2 )
(0.030 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Mumtahina
:11
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
akitoroka
yeyote
katika
wake
zenu
kwenda
kwa
makafiri,
tena
ikatokea
mkapata
ngawira,
basi
wapeni
walio
kimbiwa
na
wake
zao
kiasi
cha
mahari
waliyo
yatoa.
Na
mcheni
Mwenyezi
Mungu
ambaye
mnamuamini.
]
[ وإن فاتكم شيء من أزواجكم إلى الكفار فعاقبتم فآتوا الذين ذهبت أزواجهم مثل ما أنفقوا واتقوا الله الذي أنتم به مؤمنون ] — الممتحنة 11
#2
An-Nahl
:94
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wala
msifanye
viapo
vyenu
ni
njia
ya
kudanganyana
baina
yenu.
Usije
mguu
ukateleza
badala
ya
kuthibiti,
na
mkaonja
maovu
kwa
sababu
ya
kule
kuzuilia
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu,
na
mkapata
adhabu
kubwa.
]
[ ولا تتخذوا أيمانكم دخلا بينكم فتزل قدم بعد ثبوتها وتذوقوا السوء بما صددتم عن سبيل الله ولكم عذاب عظيم ] — النحل 94