Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Muhammad
:4
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Basi
mnapo
wakuta
walio
kufuru
wapigeni
shingoni
mwao,
mpaka
mkiwadhoofisha
wafungeni
pingu.
Tena
waachilieni
kwa
hisani
au
wajikomboe,
mpaka
vita
vipoe.
Ndio
hivyo.
Na
lau
angeli
taka
Mwenyezi
Mungu
angeli
washinda
mwenyewe,
lakini
haya
ni
kwa
sababu
akutieni
mitihani
nyinyi
kwa
nyinyi.
Na
walio
uliwa
katika
njia
ya
Mwenyezi
Mungu
hatazipoteza
a'mali
zao.
]
[ فإذا لقيتم الذين كفروا فضرب الرقاب حتى إذا أثخنتموهم فشدوا الوثاق فإما منا بعد وإما فداء حتى تضع الحرب أوزارها ذلك ولو يشاء الله لانتصر منهم ولكن ليبلو بعضكم ببعض والذين قتلوا في سبيل الله فلن يضل أعمالهم ] — محمد 4