Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 2 ന്റെ 2 )
(0.034 നിമിഷങ്ങള്)
#1
An-Nisa'
:95
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hawawi
sawa
Waumini
wanao
kaa
tu
wala
hawanadharura,
na
wale
wanao
pigana
katika
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu
kwa
mali
yao
na
nafsi
zao.
Mwenyezi
Mungu
amewatukuza
cheo
wale
wanao
pigana
kwa
mali
yao
na
nafsi
zao
kuliko
wale
wanao
kaa
tu.
Ingawa
Mwenyezi
Mungu
amewaahidi
wote
mashukio
mema,
lakini
Mwenyezi
Mungu
amewafadhili
wanao
pigana
kwa
ujira
mkubwa
kuliko
wanao
kaa
tu.
]
[ لا يستوي القاعدون من المؤمنين غير أولي الضرر والمجاهدون في سبيل الله بأموالهم وأنفسهم فضل الله المجاهدين بأموالهم وأنفسهم على القاعدين درجة وكلا وعد الله الحسنى وفضل الله المجاهدين على القاعدين أجرا عظيما ] — النساء 95
#2
Al-Kahf
:107
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani