Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 2 ന്റെ 2 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Yusuf
:43
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
siku
moja
mfalme
alisema:
Hakika
mimi
nimeota
ng'ombe
saba
wanene
wanaliwa
na
ng'ombe
saba
walio
konda.
Na
mashuke
saba
mabichi
na
mengine
makavu.
Enyi
waheshimiwa!
Nambieni
maana
ya
ndoto
zangu,
ikiwa
nyinyi
mnaweza
kuagua
ndoto.
]
[ وقال الملك إني أرى سبع بقرات سمان يأكلهن سبع عجاف وسبع سنبلات خضر وأخر يابسات يا أيها الملأ أفتوني في رؤياي إن كنتم للرؤيا تعبرون ] — يوسف 43
#2
Yusuf
:46
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Yusuf!
Ewe
mkweli!
Tueleze
nini
maana
ya
ng'ombe
saba
wanene
kuliwa
na
ng'ombe
saba
walio
konda.
Na
mashuke
saba
mabichi
na
mengine
makavu,
ili
nirejee
kwa
watu
wapate
kujua.
]
[ يوسف أيها الصديق أفتنا في سبع بقرات سمان يأكلهن سبع عجاف وسبع سنبلات خضر وأخر يابسات لعلي أرجع إلى الناس لعلهم يعلمون ] — يوسف 46