Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
At-Tawba
:52
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Sema:
Hivyo
mnatutazamia
litupate
lolote
isipo
kuwa
moja
katika
mema
mawili?
Na
sisi
tunakutazamieni
kuwa
Mwenyezi
Mungu
akufikishieni
adhabu
itokayo
kwake,
au
kutokana
na
mikono
yetu.
Basi
ngojeni,
nasi
tunangoja
pamoja
nanyi.
]
[ قل هل تربصون بنا إلا إحدى الحسنيين ونحن نتربص بكم أن يصيبكم الله بعذاب من عنده أو بأيدينا فتربصوا إنا معكم متربصون ] — التوبة 52