Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.039 നിമിഷങ്ങള്)
#1
An-Nisa'
:83
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
linapo
wafikia
jambo
lolote
lilio
khusu
amani
au
la
kitisho
wao
hulitangaza.
Na
lau
kuwa
wangeli
lipeleka
kwa
Mtume
na
kwa
wenye
mamlaka
kati
yao,
wale
wanao
chunguza
wangeli
lijua.
Na
lau
kuwa
si
fadhila
ya
Mwenyezi
Mungu
juu
yenu
na
rehema
yake
mngeli
mfuata
Shet'ani
ila
wachache
wenu
tu.
]
[ وإذا جاءهم أمر من الأمن أو الخوف أذاعوا به ولو ردوه إلى الرسول وإلى أولي الأمر منهم لعلمه الذين يستنبطونه منهم ولولا فضل الله عليكم ورحمته لاتبعتم الشيطان إلا قليلا ] — النساء 83