Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
An-Nisa'
:19
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Si
halali
kwenu
kuwarithi
wanawake
kwa
nguvu.
Wala
msiwadhikishe
ili
mwapokonye
baadhi
ya
mlivyo
wapa
-
isipo
kuwa
wakifanya
uchafu
ulio
wazi.
Na
kaeni
nao
kwa
wema,
na
ikiwa
mmewachukia,
basi
huenda
mkakichukia
kitu,
na
Mwenyezi
Mungu
ametia
kheri
nyingi
ndani
yake.
]
[ يا أيها الذين آمنوا لا يحل لكم أن ترثوا النساء كرها ولا تعضلوهن لتذهبوا ببعض ما آتيتموهن إلا أن يأتين بفاحشة مبينة وعاشروهن بالمعروف فإن كرهتموهن فعسى أن تكرهوا شيئا ويجعل الله فيه خيرا كثيرا ] — النساء 19