Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.027 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Yusuf
:100
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
akawapandisha
wazazi
wake
kwenye
kiti
cha
enzi.
Na
wote
wakaporomoka
kumsujudia.
Na
akasema:
Ewe
baba
yangu!
Hii
ndiyo
tafsiri
ya
ile
ndoto
yangu
ya
zamani.
Na
Mwenyezi
Mungu
ameijaalia
iwe
kweli.
Na
Mwenyezi
Mungu
amenifanyia
wema
kunitoa
gerezani,
na
kukuleteni
kutoka
jangwani
baada
ya
Shet'ani
kuchochea
baina
yangu
na
ndugu
zangu.
Hakika
Mola
wangu
Mlezi
ni
Mpole
kwa
alitakalo.
Bila
ya
shaka
Yeye
ni
Mjuzi
Mwenye
hikima.
]
[ ورفع أبويه على العرش وخروا له سجدا وقال يا أبت هذا تأويل رؤياي من قبل قد جعلها ربي حقا وقد أحسن بي إذ أخرجني من السجن وجاء بكم من البدو من بعد أن نزغ الشيطان بيني وبين إخوتي إن ربي لطيف لما يشاء إنه هو العليم الحكيم ] — يوسف 100