Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 3 ന്റെ 3 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-An'am
:157
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Au
mkasema:
Lau
kuwa
tumeteremshiwa
sisi
Kitabu
tungeli
kuwa
waongofu
zaidi
kuliko
wao.
Basi
imekufikieni
bayana
kutoka
kwa
Mola
wenu
Mlezi,
na
uwongofu,
na
rehema.
Basi
nani
aliye
dhaalimu
mkubwa
zaidi
kuliko
yule
anaye
kanusha
Ishara
za
Mwenyezi
Mungu,
na
akajitenga
nazo?
Tutawalipa
wanao
jitenga
na
Ishara
zetu
adhabu
kali
kabisa
kwa
sababu
ya
kujitenga
kwao.
]
[ أو تقولوا لو أنا أنزل علينا الكتاب لكنا أهدى منهم فقد جاءكم بينة من ربكم وهدى ورحمة فمن أظلم ممن كذب بآيات الله وصدف عنها سنجزي الذين يصدفون عن آياتنا سوء العذاب بما كانوا يصدفون ] — الأنعام 157
#2
Fussilat
:51
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#3
Al-Israa
:83
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani