Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.026 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Ta-ha
:71
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
(Firauni)
akasema:
Oh!
Mnamuamini
kabla
sijakupeni
ruhusa?
Hakika
yeye
ndiye
mkubwa
wenu
aliye
kufundisheni
uchawi.
Basi
kwa
yakini
nitakukateni
mikono
yenu
na
miguu
yenu
kwa
kutafautisha.
Na
nitakutundikeni
misalabani
katika
vigogo
vya
mitende,
na
hapo
kwa
yakini
mtajua
ni
nani
katika
sisi
aliye
mkali
wa
kuadhibu
na
kuiendeleza
adhabu
yake.
]
[ قال آمنتم له قبل أن آذن لكم إنه لكبيركم الذي علمكم السحر فلأقطعن أيديكم وأرجلكم من خلاف ولأصلبنكم في جذوع النخل ولتعلمن أينا أشد عذابا وأبقى ] — طه 71