Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Hajj
:5
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
watu!
Ikiwa
nyinyi
mna
shaka
ya
kufufuliwa
basi
kwa
hakika
Sisi
tulikuumbeni
kutokana
na
udongo,
kisha
kutokana
na
manii,
kisha
kutokana
na
kipande
cha
damu
ilio
gandana,
kisha
kutokana
na
kipande
cha
nyama
chenye
umbo
na
kisicho
kuwa
na
umbo,
ili
tukubainishieni.
Nasi
tunakiweka
katika
matumbo
ya
uzazi
tunacho
kitaka
mpaka
muda
ulio
wekwa.
Kisha
tunakutoeni
kwa
hali
ya
mtoto
mchanga,
kisha
mfikie
kutimia
akili.
Na
wapo
katika
nyinyi
wanao
kufa,
na
wapo
katika
nyinyi
wanao
rudishwa
kwenye
umri
wa
unyonge
kabisa,
hata
mtu
awe
hajui
kitu
baada
ya
kuwa
anakijua.
Na
unaiona
ardhi
imetulia
kimya,
lakini
tunapo
yateremsha
maji
juu
yake
husisimka
na
kututumka,
na
kumea
kila
namna
ya
mimea
mizuri.
]
[ يا أيها الناس إن كنتم في ريب من البعث فإنا خلقناكم من تراب ثم من نطفة ثم من علقة ثم من مضغة مخلقة وغير مخلقة لنبين لكم ونقر في الأرحام ما نشاء إلى أجل مسمى ثم نخرجكم طفلا ثم لتبلغوا أشدكم ومنكم من يتوفى ومنكم من يرد إلى أرذل العمر لكيلا يعلم من بعد علم شيئا وترى الأرض هامدة فإذا أنزلنا عليها الماء اهتزت وربت وأنبتت من كل زوج بهيج ] — الحج 5