Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.027 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Qasas
:76
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hakika
Qaruni
alikuwa
katika
watu
wa
Musa,
lakini
aliwafanyia
dhulma.
Na
tulimpa
khazina
ambazo
funguo
zake
zinawatopeza
watu
wenye
nguvu
kuzichukua.
Walipo
mwambia
watu
wake:
Usijigambe!
Hakika
Mwenyezi
Mungu
hawapendi
wanao
jigamba.
]
[ إن قارون كان من قوم موسى فبغى عليهم وآتيناه من الكنوز ما إن مفاتحه لتنوء بالعصبة أولي القوة إذ قال له قومه لا تفرح إن الله لا يحب الفرحين ] — القصص 76