Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.024 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Ar-Ra'd
:33
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Je!
Anaye
isimamia
kila
nafsi
kwa
yale
iliyo
yachuma...?
Na
wamemfanyia
Mwenyezi
Mungu
kuwa
na
washirika!
Sema
watajeni.
Au
ndio
mnampa
khabari
ya
yale
asiyo
yajua
katika
ardhi;
au
ni
maneno
matupu?
Bali
walio
kufuru
wamepambiwa
vitimbi
vyao
na
wamezuiliwa
njia.
Na
ambaye
Mwenyezi
Mungu
amemwacha
apotee
basi
hana
wa
kumwongoa.
]
[ أفمن هو قائم على كل نفس بما كسبت وجعلوا لله شركاء قل سموهم أم تنبئونه بما لا يعلم في الأرض أم بظاهر من القول بل زين للذين كفروا مكرهم وصدوا عن السبيل ومن يضلل الله فما له من هاد ] — الرعد 33