Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-A'raf
:156
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
utuandikie
mema
katika
dunia
hii
na
katika
Akhera.
Sisi
tumerejea
kwako.
(Mwenyezi
Mungu)
akasema:
Adhabu
yangu
nitamsibu
nayo
nimtakaye.
Na
rehema
yangu
imeenea
kila
kitu.
Lakini
nitawaandikia
khasa
wanao
mchamngu,
na
wanao
toa
Zaka,
na
wale
ambao
wanaziamini
Ishara
zetu,
]
[ واكتب لنا في هذه الدنيا حسنة وفي الآخرة إنا هدنا إليك قال عذابي أصيب به من أشاء ورحمتي وسعت كل شيء فسأكتبها للذين يتقون ويؤتون الزكاة والذين هم بآياتنا يؤمنون ] — الأعراف 156