Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Ma'idah
:54
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Atakaye
iacha
miongoni
mwenu
Dini
yake,
basi
Mwenyezi
Mungu
atakuja
leta
watu
anao
wapenda
nao
wanampenda,
wanyenyekevu
kwa
Waumini
na
wenye
nguvu
juu
ya
makafiri,
wanapigania
Jihadi
katika
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu,
wala
hawaogopi
lawama
ya
anaye
laumu.
Hiyo
ndiyo
fadhila
ya
Mwenyezi
Mungu,
humpa
amtakaye.
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mkunjufu
na
Mwenye
kujua.
]
[ يا أيها الذين آمنوا من يرتد منكم عن دينه فسوف يأتي الله بقوم يحبهم ويحبونه أذلة على المؤمنين أعزة على الكافرين يجاهدون في سبيل الله ولا يخافون لومة لائم ذلك فضل الله يؤتيه من يشاء والله واسع عليم ] — المائدة 54