Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Israa
:59
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
hapana
kinacho
tuzuia
kupeleka
miujiza
ila
ni
kuwa
watu
wa
zamani
waliikanusha.
Na
tuliwapa
Wathamudi
ngamia
jike
kuwa
ni
Ishara
iliyo
dhaahiri,
lakini
walidhulumu
kwaye.
Nasi
hatupeleki
Ishara
ila
kwa
ajili
ya
kuhadharisha.
]
[ وما منعنا أن نرسل بالآيات إلا أن كذب بها الأولون وآتينا ثمود الناقة مبصرة فظلموا بها وما نرسل بالآيات إلا تخويفا ] — الإسراء 59