Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al Imran
:77
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hakika
wanao
uza
ahadi
ya
Mwenyezi
Mungu
na
viapo
vyao
thamani
ndogo,
hao
hawatakuwa
na
sehemu
ya
kheri
yoyote
katika
Akhera,
wala
Mwenyezi
Mungu
hatasema
nao
wala
hatawatazama
Siku
ya
Kiyama,
wala
hatawatakasa,
nao
watapata
adhabu
chungu.
]
[ إن الذين يشترون بعهد الله وأيمانهم ثمنا قليلا أولئك لا خلاق لهم في الآخرة ولا يكلمهم الله ولا ينظر إليهم يوم القيامة ولا يزكيهم ولهم عذاب أليم ] — آل عمران 77