Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Hashr
:9
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
walio
na
maskani
zao
na
Imani
yao
kabla
yao,
wanawapenda
walio
hamia
kwao,
wala
hawaoni
choyo
katika
vifua
vyao
kwa
walivyo
pewa
(Wahajiri),
bali
wanawapendelea
kuliko
nafsi
zao,
ingawa
wao
wenyewe
ni
wahitaji.
Na
mwenye
kuepushwa
uchoyo
wa
nafsi
yake,
basi
hao
ndio
wenye
kufanikiwa.
]
[ والذين تبوءوا الدار والإيمان من قبلهم يحبون من هاجر إليهم ولا يجدون في صدورهم حاجة مما أوتوا ويؤثرون على أنفسهم ولو كان بهم خصاصة ومن يوق شح نفسه فأولئك هم المفلحون ] — الحشر 9