Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
At-Tawba
:42
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
lau
ingeli
kuwa
ipo
faida
ya
papo
kwa
papo,
na
safari
yenyewe
ni
fupi,
wangeli
kufuata.
Lakini
wameona
ni
mbali
na
kuna
mashaka.
Nao
wataapa
kwa
Mwenyezi
Mungu:
Tungeli
weza
bila
ya
shaka
tungeli
toka
pamoja
nanyi.
Wanaziangamiza
nafsi
zao.
Na
Mwenyezi
Mungu
anajua
kuwa
hakika
hao
ni
waongo.
]
[ لو كان عرضا قريبا وسفرا قاصدا لاتبعوك ولكن بعدت عليهم الشقة وسيحلفون بالله لو استطعنا لخرجنا معكم يهلكون أنفسهم والله يعلم إنهم لكاذبون ] — التوبة 42