Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Baqarah
:235
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wala
si
vibaya
kwenu
katika
kupeleka
posa
kwa
ishara
tu
kwa
wanawake
waliomo
edani
au
mkadhamiria
katika
nyoyo
zenu.
Mwenyezi
Mungu
anajua
kwamba
nyinyi
mtawakumbuka.
Lakini
msiwaahidi
kwa
siri,
ila
mnene
maneno
mema.
Wala
msiazimie
kufunga
ndoa
mpaka
eda
ifike
mwisho
wake.
Na
jueni
kwamba
Mwenyezi
Mungu
anajua
yaliyomo
katika
nafsi
zenu.
Basi
tahadharini
naye.
Na
jueni
kwamba
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kusamehe
na
Mpole.
]
[ ولا جناح عليكم فيما عرضتم به من خطبة النساء أو أكننتم في أنفسكم علم الله أنكم ستذكرونهن ولكن لا تواعدوهن سرا إلا أن تقولوا قولا معروفا ولا تعزموا عقدة النكاح حتى يبلغ الكتاب أجله واعلموا أن الله يعلم ما في أنفسكم فاحذروه واعلموا أن الله غفور حليم ] — البقرة 235